Mtu anayependa sifa ni wa kuamini maana anajiamini yeye mwenyeweKwamba anapenda sifa?!
Kuna mengine huwa ni ya kawaida sana kujisifia...mfano kwenda chooni kukojoa...utasikia yaani nimekojoa hadi raha [emoji8] kwani kuna asiyekojoa?!Mtu anayependa sifa ni wa kuamini maana anajiamini yeye mwenyewe
😂Kuna mengine huwa ni ya kawaida sana kujisifia...mfano kwenda chooni kukojoa...utasikia yaani nimekojoa hadi raha [emoji8] kwani kuna asiyekojoa?!