hana

  1. Ndata

    JamiiForums Tanzania Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ananishangaza anaposema CCM haina makundi

    Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake. CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka ilivyoenda kimerekebisha namna ya utekelezaji wa mipango yake kuhusu namna ya kufikia uchumi wa kijamaa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria. Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani. Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili No wonder nchi hii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  8. jastertz

    JamiiForums Tanzania Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Ndefu kidogo.... Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner. Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya. Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

    Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano. Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing, Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja na kukupa uchi. Siku ya sikukuu ulimnunulia nguo mpya, wig, hela ya salon na vizawadi vya hapa na...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi: Masikini hana kiapo wala chaguo

    "Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya CCM vya zamani vimechoka na miundombinu hafifu." "Simba nao hawana kiwanja lakini wamekuwa...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  13. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

    Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania William Ruto hana maadili msibani

    Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

    Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa. Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyepigwa ngumi hana akili na mpiga ngumi ni tahira

    Binafsi nina roho ya Musa, nachukia uonevu hata kama huo uonevu sijafanyiwa Mimi. Yule mtu ana mapungufu ya akili , maana mtu mwenye akili timamu asingeweza kuvamia msafara ambao uko na limited time. Yule mlinzi analipwa na fedha za umma kulinda Watanzania kwa njia moja ama nyingine. Yaani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni Kutudanganya Fabrice Ngoma alikuwa hana Matatizo ya Kifamilia, bali Aligoma hadi alipwe chake

    GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto. Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1. Usalama wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
Back
Top Bottom