“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI
11 Oktoba 2020
1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
Communications, M&E and Admin Senior Intern
Arusha, Tanzania
Intern
Contract type: Internships
Company Description
SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.
Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni.
Hii...
Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika.
Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani.
Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya...
Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni
SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao.
Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na Halmashauri Kuu kugombea Udiwani
Mshindi wa pili, Gerald Ngale alipata kura 83 na mshindi wa kwanza ni...
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020.
Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
Salaam
Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya ni watu muhimu sana katika kusukuma gurudumu la maendeleo nchini kwetu. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri wote ni wasomi wa angalau shahada ya kwanza tofauti na wabunge ambao hata darasa la saba wapo.
Mkuu wa Wilaya ndie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.