halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Juma Homera amsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Chunya, Edward Andendekisye

    MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400. MKUU wa Mkoa wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  4. LAPSE RATE

    JamiiForums Tanzania DED wa Kyerwa ni tatizo kwa Watumishi

    Wapendwa habari za muda huu? Nimeona niandike uzi huu nikiwa na masikitiko kuhusu huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera aitwaye Shedrack Mhagama. Huyu mheshimiwa amekuwa ni tatizo kwa watumishi wanaofanya kazi katika Halmashauri yake ambayo siyo kongwe sana...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapa, afanyeje?

    Wana bodi hebu saidieni, Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania TARURA na halmashauri huu wakati wa jua utumieni kusawazisha barabara na stendi mbovu; msisubiri mvua

    Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope! Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze! Waziri...
  7. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni vibali Halmashauri ziajiri walimu na manesi

    Huu ni ushauri wa bure. TAMISEMI shughulikieni matatizo ya msingi sio kujipa makazi mengi msiyoweza kuyamaliza. Toeni vibali Halmashauri ziajiri waalimu na watumishi wa afya kisha taarifa zao zitumwe huko kwenu/DODOMA. Halmashauri zina wasomi wa kila aina hivi kweli hawawezi kuajiri waalimu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipangue Wakurugenzi wa Halmashauri, ile ni nafasi ya utumishi wa umma

    Mwaka 2015 Magufuli alipoingia madarakani alipanua wigo wa uteuzi na kuapisha. Tulishuhudia akiteua waliokuwa makada wa CCM zaidi ya 200 na kuwapa nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri (DED) na wengine wakiwa na DAS ( maafisa tawala wa wilaya). Na kisha akawaapisha. Hii ilipelekea ma DED wengi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  11. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia Wakurugenzi wa Halmashauri wana kiburi cha awamu ya tano

    Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu. Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Mashua/Vivuko Daraja la II Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

    POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko Kuchunga usalama wa abiria...
  13. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

    Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy. Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

    Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
  17. benwise

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upoje katika kutoa Ajira ndani ya halmashauri za miji?

    Najua humu jukwani kuna kila aina ya watu toka katika sekta zote, ninaamini hata hili nitajibiwa kikamilifu. Napenda kujua zile nafasi mbalimbali za vibarua zinazotangazwa na halmashauri za miji mfano kinondoni,tabora nk,hasa vibarua wanaopewa mashine kwa ajili ya ukusanyaji mapato kwenye...
  18. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma

    Mh. Juma Raibu Juma, Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025. Mimi nikiwa...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vigogo halmashauri Sengerema wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewasimamisha kazi wakuu wa idara watatu wa halmashauri ya Sengerema kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo. Waliosimamishwa kazi ni Tabwe Seleman ambaye ni kaimu mweka hazina wa halmashauri hiyo, Renatus Shule (kaimu...
Back
Top Bottom