halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

    Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu...
  2. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Halmashaurini kuna posho?

    Habari, naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
  3. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi halmashauri ya Wilaya ya Makete

  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Communications, M&E and Admin Senior Intern at SNV

    Communications, M&E and Admin Senior Intern Arusha, Tanzania Intern Contract type: Internships Company Description SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
  8. muneera75

    JamiiForums Tanzania Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

    Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta. Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
  9. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  10. proff g

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmashauri ya Hai

  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda Halmashauri ya jiji la Arusha

  14. muneera75

    JamiiForums Tanzania Mafunzo katika Halmashauri ya manispaa

    Nimepata nafasi ya kufanya field halmashauri ya manispaa ya ilala Kama una ushauri au chochote cha kuniambia maybe cha kuzingatia. Thanks in advance
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wakurugenzi wa Halmashauri siyo watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

    Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika. Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani. Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya...
  16. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Halmashauri Nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni

    Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao. Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Same, Kilimanjaro: WanaCCM Kata ya Bwambo waandamana kumpinga Mgombea Udiwani aliyepitishwa na Halmashauri Kuu

    Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na Halmashauri Kuu kugombea Udiwani Mshindi wa pili, Gerald Ngale alipata kura 83 na mshindi wa kwanza ni...
  19. Troll JF

    JamiiForums Tanzania CHAMWINO: Taarifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kuhusu kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu

    Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru Ali: Wote waliotia nia kugombea Ubunge wabaki kwenye Majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu

    KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020. Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
Back
Top Bottom