halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  2. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais teua Wakurugenzi wa Halmashauri, Halmashauri zinakufa huku

    Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri. Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini" umesababisha viongozi hao ku-relux na kutofanya kazi. Wapo wanaosema mama unaingiza watu wako ,hivyo...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  4. MjumbeOGG

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Halmashauri ya Wilaya ya Hai?

    Utaratibu wa Walimu kuhama toka chama kimoja cha wafanyakazi kwenda chama kingine ni sawa kwa Tanzania nzima. Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walimu wake washindwe kuhama wakati Utaratibu wamefuata kama walimu wa halmashauri nyingine? Walimu Wameichoka CWT, ni Wizi ni Rushwa kila kukicha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zinazokusanya kuanzia bilioni 5, zaelekezwa kutenga 10% kuboresha miundombinu ya barabara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zinazokusanya mapato ya ndani kuanzia bilioni 5 kwa mwaka kuhakikisha wanatoa asilimia 10 kati ya asilimia 60 inayotengwa kutekeleza miradi ya maendeleo...
  6. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

    Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka. Maswali niliyomuuliza alishindwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa apiga marufuku walimu kupita kila ofisi ya halmashauri kutafuta huduma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe huduma hizo shuleni badala ya watoa huduma kufatwa Ofisini. Ametoa agizo hilo leo tarehe 8 Septemba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  9. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji. Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia. Nyumba zimesambaa kama takataka...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kuficha milioni 100 za ufadhili wa ujenzi wa shule

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule. Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
  11. polokwane

    JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  12. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Simiyu: RC Nawanda aagiza kuvifikisha mahakamani vikundi ambavyo havijarejesha kwa wakati mikopo ya 10% ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani. Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  15. Songaleli

    JamiiForums Tanzania Bumbuli ya January Makamba yashika mkia ukusanyaji mapato. Ni Halmashauri ya 185 kati ya 185,Wakurugenzi 85 wajieleza kwanini wasiwapishe wengine viti

    Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato, Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea. Katika halmashauri hizo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini. Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

    Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya Uyui-Tabora, Makinikeni hii sio sawa

    Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima. Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
Back
Top Bottom