halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  2. famicho

    JamiiForums Tanzania Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

    Habari za masiku wanajukwaa. Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+ Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TRA na Halmashauri tambueni kwamba Ujenzi wa miundombinu unaochukua muda mrefu unaathiri Wafanyabiashara, mnadaije kodi maeneo hayo?

    Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo. Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana na kinachopatikana kwenye biashara husika na si vinginevyo. Lazima tukubali kwamba ujenzi wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

    Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao. Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga limewafukuza kazi watumishi sita kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 23, 2022...
  8. MshikjiFlaniHivii

    JamiiForums Tanzania Nimepita leo Halmashauri ya Dodoma, watu ni wengi sana wenye bahasha za khaki

    Ndugu zangu, jana nilifanikiwa kufika halmashauri pale ya jiji la Dodoma kupeleka Barua yangu ya maombi ya ukusanyaji wa postcode, watu walikua wengi sana wenye bahasha za kaki. Vijana walikuwa wengi sana. Muda huu pia nimetoka pale, nikaangalia yule anaepokea zile bahasha anazipa namba, namba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Namshauri Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita kufanya haya...

    Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa. Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

    Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka. Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa. Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu. Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  12. Songambele

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

    🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi 🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam #NyukiWaMama
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu viwanja vinavyouzwa na halmashauri zetu.

    Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa “kutafuna “mil 140 ,wadaiwa kuigeuza halmashuri shamba la Bibi.

    Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa kuchota milioni 140 fedha za makusanyo ya ndani. *Wadaiwa kuigeuza halmashauri “shamba la bibi “ *Yumo mwanasheria,mhasibu,mkaguzi wa fedha za ndani pamoja na mtaalamu wa mfumo wa mashine za kukusanya mapato . Na,Mwandishi Maalumu SIRI mbalimbali za...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  17. J

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

    Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kukutana Desemba 18, 2021

    HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021 TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan. Kikao...
  19. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Tuhuma mbalimbali za ufisadi zazidi kumwandama aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha

    Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani. Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameongeza siku 15 kwa Halmashauri zote nchini kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa

Back
Top Bottom