Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.

Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.

Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.

Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.

Uteuzi wake utenguliwe.

Pia wananchi wa Tanzania wasiache kuwapongeza wafuatao (niwapongeze wafuatao kwa kuteuliwa kwenye nafasi za UDAS):

  • Geofrey Moses Nauye
  • Justice Lawrance Kijazi
  • Shauri Selenda Msuya
  • Neema Michael Magembhe
  • John Kulwa Mgalula
  • Ramadhani Salmin Possible
  • James Godfrey Mkumbo
  • James Francis Chalamila
  • Ruth John Magufuli
  • Fatima Said Kubenea
  • Pendo Daniel Ndumbaro
  • Reuben Michael Chongolo
  • Neema Fidelis Mfugale
  • Said Majaliwa
  • Ester Zulu Gama

Na hawa Kwenye nafasi za UDED
  • Chiunde Mfaume Kawawa
  • Abdul Omari Mtaka
  • Tamim Hamad Kambona
  • John John Nchimbi
  • Joanfaith John Kataraia
  • Shadrack M Mhagama.

Haya mambo 🙌🏼🙌🏼. CCM wanagawana vyeo vya Mama. TANZANIA hahahaa!
 
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.

Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.

Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.

Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.

Uteuzi wake utenguliwe.
Mambo ya baba yake Yana muhusuje mtoto!?
 
Tulia!

Viongozi wa kesho hao ndo kwanza wanaandaliwa!

Screenshot_20230607_151944_Telegram.jpg
 
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.

Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.

Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.

Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.

Uteuzi wake utenguliwe.
Pinga na huku
 
Hizo teuzi zimefanywa kimyakimya maana wengine hata hatujui
 
Kazi za kupeana peana hizi ndio mnategemea CAG aripoti madudu kwenye halmashauri halafu hawa ndugu na watoto wa wakubwa washughulikiwe kwa mujibu wa sheria?

Mtabinafsisha mpaka vyoo vya stendi kwa watu wenye akili wawasaidie kuongoza.
 
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.

Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.

Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.

Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.

Uteuzi wake utenguliwe.
Acha wivu angekuwa Ndg yako ungeandika vitu vya ajabu ajabu ,pongeza watu watakie kazi njema
 
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.

Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.

Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.

Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.

Uteuzi wake utenguliwe.
Kazi iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom