Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga!
Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO
Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102.
Wanafunzi Wameripoti...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa.
Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa.
Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti.
Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
Habari zenu!
Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
Habari zenu wakuu!
Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
Habari za mchana kwa kila mmoja!
Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano:
1. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la DSM alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema...
Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda.
======
Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
👇👇
Nawasalimu sana wandugu.
Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
Wadau kwema !
Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo
Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20,
MSAADA
september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata taratibu zote na kusaini mkataba , nyaraka za risiti nimeziona na malipo ya yalifanyika kwa control...
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya
Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia
Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya
mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya
Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.