hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu huwa wana enjoy zaidi ile hali ya wao kujulikana wameishiwa hela

    Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

    Mimi nikikosa pesa Huwa najishangaa nakuwa mkali mkali sio kwa watoto hata kwa watu wengine wanao nizunguka huwa sielewi hii hali
  3. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

    Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti. Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

    Wakuu, Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO SGR LOT 5 Hali ni tete. Wafanyakazi zaidi ya 200 wasimamishwa kazi

    Habari Wana JF, Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC. Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza. Aliye karibu na Mama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  8. JamiiForums Tanzania Zambia yakamata kundi la uhalifu wa Mtandao la Kichina linalotumia ubunifu wa hali ya juu

    Ilikuwa "mafanikio makubwa katika vita dhidi ya uhalifu wa mtandao", mamlaka ilisema baada ya uvamizi wa mashirika mengi dhidi ya kampuni inayomilikiwa na Wachina. Kampuni hiyo iliwaajiri Wazambia ambao waliaminishwa walipaswa kuwa mawakala wa kituo cha simu. Kati ya vifaa vilivyokamatwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  10. JamiiForums Tanzania Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

    Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble! Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
  13. JamiiForums Tanzania Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

    Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi. Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu. Mwizi ni mwizi, hii mijitu sio ya kuonea huruma, popote nitakapo kuta kipigo cha...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Habari za muda huu wana JF, Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
  16. JamiiForums Tanzania Hali ya mafuriko wilaya ya Rufiji, Mkuu wa Wilaya atoa tahadhari ya kuongezeja kwa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya maji wahame kwa kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linaendelea kufunguliwa maji yanazidi kuongezeka sambamba na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
  18. JamiiForums Tanzania Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…