haki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Naipenda Solidarity ya CHADEMA kupigania haki; Wanampigania Dr. Slaa bila kujali itikadi yake

    Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM...
  2. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

    Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai? Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini. Hapa naona...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  4. mangikule

    JamiiForums Tanzania Dini ya kweli ni haki, kinyume chake ni ushetani

    Nimefuatilia mijadala mingi ya kisiasa hapa. Kuna wanaopinga au kuunga mkono tu kwa kigezo cha dini ya kiongozi mkuu. Mijdala ilianzia mbali sana Miaka ya tisini mbuga zetu ziliuzwa Loliondo upinzani na uungaji mkono ukalalia udini. Miaka ya 2005 hadi 2010 ufisadi mkubwa ukajitokeza na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

    Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania ''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

    Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha. Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa. Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja...
  7. J

    JamiiForums Tanzania LHRC, Hakielimu zaridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya haki za binadamu unaofanywa na Serikali

    Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu. Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kila mfanyakazi anayo haki ya kugoma. Hata hivyo, sio kila mgomo unatambuliwa na Sheria

    Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali madai ya Wafanyakazi, au Mwajiri kubadili au kuacha madai yake dhidi ya Wafanyakazi, madai ambayo...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

    Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza. Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya tatu ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Utawala Bora na kuimarisha utawala wa sheria kwa usawa na haki

    UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI Utangulizi Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii ina lengo la kuchunguza jinsi uwajibikaji na utawala bora vinavyoweza kuleta mabadiliko...
  12. Francis001

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania BASATA hana HAKI wala WAJIBU wa kuzuia haki ya katiba ya kutoa maoni kupitia sanaa

    Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia. Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

    Kwa mara nyingine tena mkoa wa Kagera unaachwa mpweke. Kwa kujenga mnara wa mashujaa mkoa tofauti na Kagera ambapo ndo mkoa unaobeba historia ya vita na Uganda ni kuunyima mkoa huu fursa. Pale Bunazi kuna uwanja wa mashujaa unaitwa Chakaza, kwa nini hiyo miradi ya mnara wa mita 100 na kadhaa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi wananchi wakikataa rasilimali zisibinafsishwe hawana haki ya kusikilizwa?

    Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana? Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Msitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki

    Lema amewaambia waislamu wasitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki. Huku akiwaambia Wakristo wasitetee mtu sababu ya uchungaji bali wamtetee sababu ya haki. Akisema kuwa wengi wanaleta mambo ya udini sababu hawamjui Mungu, Maandiko wala haki, na kwamba wangekuwa...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania HAKI JINAI: Inachohitaji Afrika ni viongozi waaminifu na sheria zisizopendelea

    Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
  18. believer

    JamiiForums Tanzania Haki na Wajibu

    Kuna hili suala la Bandari linaloendelea Nchini, limekuwa lichukua sura tofauti tofauti kila kukicha, na kadri siku zinavyozidi kwenda, mambo mbalimbali yamekuwa yakijitokeza hasa mara baada ya Bunge la Bajeti kutenga muda wakati fulani siku ya Jumamosi kwa ajili ya kujadili jambo la Bandari...
  19. Jugado

    JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
Back
Top Bottom