haja

Håja (Norwegian) or Jievju (Northern Sami) is an unpopulated island in Hammerfest Municipality in Troms og Finnmark county, Norway. Håja is located in the Sørøysundet strait, between the larger islands of Kvaløya to the east, Seiland to the south, and Sørøya to the northwest. The town of Hammerfest lies about 8 kilometres (5.0 mi) to the east of Håja.On the island, there is a gull colony. Locals use the island for picking seagull eggs and berries, traditional ingredients of North Norwegian cuisine.
Several companies and institutions in Hammerfest have been named after Håja, including a kindergarten.

View More On Wikipedia.org
  1. Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  2. W

    Muda si mrefu dada zetu watahitaji mume zaidi ya mmoja ili angalau kukidhi haja ya tendo!!

    1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
  3. Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII. Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde... Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
  4. Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL

    Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia. JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia. Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa...
  5. Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  6. Aliewahi kuwa housegirl anaingiza zaidi ya milioni 1 kila mwezi, walioenda vyuo kuna haja ya kufanya kazi sehemu binafsi kwa mishahara ya laki 3?

    Ni binti naemjua kabisa alikuwa house girl akiwa na umri wa miaka 16 alitolewa huko Iringa aje kusaidia kazi, baada ya miaka sita familia ikaamua wampeleke sehemu ajifunze kushona, alipomaliza akarudi kwao kijijini wakampa cherehani na milioni 1 na nusu ya shukrani. Binti hakukaa sana huko kwao...
  7. Je, katika kuboresha huduma ya afya kuna haja ya Watumishi wa Mungu na matabibu wa tiba asili kupewa elimu ya awali ya afya?

    Habari JF, Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili . Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
  8. Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

    Vijana kadhaa waliokuwa wamepangiwa kujiunga kambi mbali mbali za JKT nchini, wameshindwa kujiunga na Kambi hizo kutokana na maelezo kwamba zimejaa kupita kiasi. Je, kuna haja ya kuongeza idadi ya Kambi hizo ili kukidhi wingi wa vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT?
  9. Je, kuna haja ya kuwarudisha tena bungeni hawa wabunge wa Bunge la 12, 2025?

    Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni. Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi...
  10. Haina haja ya kusema ukifa uzikwe wapi acha watu waaamue wenyewe

    Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea. Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
  11. Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  12. Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  13. Baada ya Tume ya haki jinai naona ipo haja ya kuanzishwa kwa tume ya Kodi

    Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
  14. SoC03 Vijana: Kwanini kuna haja ya Kuwajibika Kijamii?

    Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii yake. Hata hivyo, vijana wengi wa Kitanzania wanapoteza fursa ya kujitolea kwa ajili ya jamii zao...
  15. Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  16. K

    Ipo haja ya vinywa vya wahubiri kufungiwa speed governor?

    Nimepita mahala muda sio mfupi na kumkuta mtumishi mmoja wa bwana akitoa mahubiri yenye ukakasi kwelikweli huku akishangiliwa kwelikweli na hadhara yake,nimemsikia kwa masikio yangu mawili eti akisema wanawake wa sasa hivi wamekuwa mercenaries Hii ni sawa kweli kumfananisha mwanamke na Wagner...
  17. Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  18. Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  19. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  20. Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…