Je, katika kuboresha huduma ya afya kuna haja ya Watumishi wa Mungu na matabibu wa tiba asili kupewa elimu ya awali ya afya?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari JF,

Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili .

Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa wagonjwa kutoka maeneo yao kuja kufika vituo vya afya ,hivyo kufika wakiwa na hali mbaya .

Je hakuna haja kwa watu hawa kupewa elimu ya awali ambayo itawasaidia kutambua ni mtu/mgonjwa yupi wa kupelekwa hospitali mapema kuepusha kukaa nao na kufikishwa mahospitalini hali zao zikiwa mbaya ?​
 
habari jf ,kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili .

Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa wagonjwa kutoka maeneo yao kuja kufika vituo vya afya ,hivyo kufika wakiwa na hali mbaya .

je hakuna haja kwa watu hawa kupewa elimu ya awali ambayo itawasaidia kutambua ni mtu/mgonjwa yupi wa kupelekwa hospitali mapema kuepusha kukaa nao na kufikishwa mahospitalini hali zao zikiwa mbaya ?​
Kwani kina Mwamposa wanasemaje ?
 
Back
Top Bottom