Baada ya Tume ya haki jinai naona ipo haja ya kuanzishwa kwa tume ya Kodi

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947
Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa kwa tume ya kodi kwa namna na ifanya kazi kama ile tume ya haki jinai ili wafanya biashara waweze kulipa kodi ya haki, sahihi, na inayolipika
 
Back
Top Bottom