Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 449
- 1,009
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.
Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.
Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?