Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,925
Vijana kadhaa waliokuwa wamepangiwa kujiunga kambi mbali mbali za JKT nchini, wameshindwa kujiunga na Kambi hizo kutokana na maelezo kwamba zimejaa kupita kiasi.

Je, kuna haja ya kuongeza idadi ya Kambi hizo ili kukidhi wingi wa vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT?
 
Lakini vijana hawa walipangiwa kuripoti kila mmoja kwenye kambi aliyopangiwa, labda kama wapo wameripoti kambi tofauti na waliyopangiwa. Na nadhani kulikuwa na maandalizi kwa kila kambi kupokea idadi ya vijana waliopangiwa, inakuwaje wanakataliwa..ni kambi gani zimejaa?
 
???

Back
Top Bottom