1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi inatumaliza......misambwanda iliyonona kweli kweli tunabaki kuiangalia tu. Tukijaribu kuishughulikia basi inakuwa juu juu tu.
2. Chips kimegeuka kuwa chakula chetu pendwa na kikuu; asubuhi, mchana na jioni.
3. Vilevi; k-vant, shisha n.k
4. Mabadiliko ya ajabu ajabu ya tabia. Yaani sasa imefikia mwanaume anaulizwa, 'vipi tuzikaushe chips?' Anajibu, 'aka, usikaushe!' Shabaaash!!!!!
5. Kupungua kwa kiasi kikubwa kwa hamu ya tendo. Yaani mbususu sasa inakuwa kama umeona unyayo tu. Zamani hata ikitajwa tu, 'mzee mzima' anastuka. Kwa sasa upigaji bao moja ni 97%
6. Msongo wa mawazo kutokana na tafsiri mpya ya ugumu wa maisha iliyopo sasa inayochochewa na mitandao na uwingi wa motivational speakers (maana kwa mtazamo wangu zamani maisha yalikuwa magumu zaidi).
Matokeo sasa dada zetu hawaridhiki, hawamwagishwi maji! Mihangaiko imekuwa mingi....fadhaa imetamalaki. Ili mwanamke apate bao angalau tatu zinazomkata hamu basi itamlazimu kuwa na wanaume watatu. Hilo linakuja kwa kasi mno na limeeshaanza kukubaliwa kisaikolojia na baadhi ya wanandoa (mume anajua kuwa hayuko peke yake na haiwi shida sababu anajua pia kuwa hawezi kumridhisha). Ni suala la miaka michache tu ijayo tutayaona live kwenye social media kama tunavyoziona tupu ambazo zamani ilikuwa vigumu sana.