hadithi

  1. S

    Hadithi ya mjukuu kifuani mwa babu na Lissu anayecheza na akili za watu majukwaani

    Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia. Mtoto...
  2. Byangwam

    SoC03 Hadithi ya mabadiliko Tanzania

    Nuru ya uwajibikaji Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa. Hii ni hadithi ya mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ambayo yameleta mabadiliko makubwa...
  3. Mwl.RCT

    SoC03 Hadithi ya Wanyama wa Msitu: Jinsi Uwajibikaji na Utawala Bora ulivyosaidia kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii Yao

    HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Msitu wa kijani kibichi Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
  4. Abtali Mwerevu

    Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  5. Mommadou Keita

    Hadithi: Kichaa cha Mpenzi

    Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
  6. Mwl.RCT

    SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  7. Mwachiluwi

    Hadithi: Mpangaji (1)

    Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1) 15 Feb IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI ***************** Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi katika shirika la reli la Tanzania ila sasa hivi ni mfanya biashara za binafsi zinazo muingizia fedha...
  8. CK Allan

    Hadithi: Mzaha wa damu

    Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...
  9. Dr Matola PhD

    Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  10. CK Allan

    Hadithi: Mpangaji

    Karibuni Tena katika story hii Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka" Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan (0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba) MPANGAJI 01...
  11. comte

    Ukiisoma hii hadithi unamuela Rais Samia kwanini alisema Stupid ila mpaka leo hatujui stupid ni nani

    “If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers: “Well, I...
  12. Rwetembula Hassan Jumah

    Waislamu wa Tanzania wanasubiri Mufti atangaze Mwezi hadithi inasemaje?

    Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini. Kesho ni Eid fitri Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday Amani Hamad, Al Arabiya English Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hadithi fupi kuliko zote: Alaumiwe Yunge

    Yunge kamuua Mzee Buhabi Yunge kamuua Nzehe Yunge kamuua Tatu Yunge kamuua Yunge mdogo. Kabaki Yunge na bibi na wachawi wengine kijijini. https://www.jamiiforums.com/threads/true-story-babu-yangu-kama-mshikaji-wangu.2071926/
  14. CK Allan

    Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    KESI YA MZEE MNYOKA 01 Mzee Mnyoka alikua na kawaida ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake, Mzee Mnyoka hakua mlevi au mchawi lakini tuseme tu hakua na mazoea ya kurudi nyumbani mapema. Siku ya Alhamis Kama ilivyo kawaida yake Mzee Mnyoka alikua akirudi nyumbani kwake majira ya saa 4:45 hivi...
  15. Chizi Maarifa

    Kutunukiwa Cheti cha kujali Maslahi ya Wasomaji wa hadithi JamiiForums

    Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa. Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji...
  16. Lycaon pictus

    Hekaya za Abuuwasi na hadithi zingine

    Wengi walisoma hizi hadithi zamani. Ngoja tujikumbushe humu. Pia unaweza kusioma ndani ya maktaba app na vingine zaidi ya 60. Tupm au namba 0715278384 ukitaka kuungwa. HEKAYA ZA ABUNUWASI NA HADITHI ZINGINE Bombay; London: Macmillan,1942. pictuspublishers@gmail.com Pictuss, 2021 YALIYOMO...
  17. CK Allan

    Hadithi: Madam President

    Mtunzi ni CK Allan Madam President Juni 1998 Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob tulikua mwisho kabisa ya mstari kuingia kwenye Basi la shule tayari kwenda Tanga mjini ambapo...
  18. Brain Kingdom

    Natamani wanawake wa kiislamu waige mazuri ya Bi Khadija wa kwenye Hadithi za Mtu S.A.W

    Wasalaam JF, 👇👇👇 Hakika ni vema mwezi huu wa mfungo wa ibada naomba ikawe neema na nuru ya ukombozi, wanawake wote wapendwa waislam maustafhati wote wafanye mazuri na wajaaliwe kama Bi Khadija. Na kheri ikawe nanyi wote, binti zetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu, na Bibi xetu nyote...
  19. Mwachiluwi

    Mr handsome, hadithi ya kusisimua

    HANDSOME BOYS...[emoji7] SONGA NAYO........... "Maisha yangu yamekuwa ya mapito mateso na furaha pia, vyote vimekuwa vikichukua nafasi katika maisha yangu na kunifanya niwe imara na kuwa na furaha za kuwa mpambanaji Zaidi katika maisha yangu, ukiwageni umeishi maisha ya vipindi tofauti tofauti...
  20. Lycaon pictus

    Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
Back
Top Bottom