hadithi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Cheka, simulia, lakini usiombe yakukute

    Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915, mwandishi akiwa Franz Kafka. Asubuhi fulani, wakati Grego Samsa akiamka toka kwenye ndoto za...
Back
Top Bottom