hadithi

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni? Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani? Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa! Unashindwa...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kiburi Kilichobomoa Ufalme wa Muziki wa EDM: Kisa cha Gabry Ponte na Kundi la Eiffel 65

    Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao maarufu "Blue (Da Ba Dee)", wimbo uliotikisa anga za kimataifa, ukapanda chati za muziki na kufungua...
  5. The Story Vault

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Majaribu

    Hadithi: MAJARIBU Mtunzi:Mwaki Ze Done (0653814440) UTANGULIZI: Ni hadithi inayomzungumzia kijana mdogo wa kuitwa majaribu. Wakati akijaribu kuyakimbia matatizo yake akakutana na majaribu menyewe Sasa Alijikuta akikabiliwa na kesi ya mauaji ambayo hakuyafanya ilipelekea kupelekwa gerezani je...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré ni Kibanga aliyempiga mkoloni

    Captain Ibrahim Traoré rais wa Burkina Faso ameiweka nchi yake kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kote. Umaarufu na uungwaji mkono wa Mwanamapinduzi huyu umeenea sio tu Ouagadougou na ndani ya mipaka ya Burkina Faso, bali Afrika yote. Ni jambo lililo wazi kuwa captain amekuwa ndiye...
  7. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Maisha ni hadithi fupi

    Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hadithi fupi: Hadithi ya Wakurya wa Tanganyika

    Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
  10. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Mchezo: 'Niongezee Sentensi' – Hadithi Hai ya Mtaa na Taifa

    Habari wanaJF, Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza akili na pia unaweza kuibua hadithi ya ajabu au tafakari ya kina juu ya maisha yetu ya kila siku. 📌...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  12. T

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  14. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  16. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  18. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Na je! Imekufikia hadithi ya Musa? (Alipotumwa Kwa Firauni)

    Habari zenu wana JF leo nimeona sio mbaya nikiwaletea hadithi fupi ya Mussa alivyo tumwa Kwa Firauni na Majibizano kati ya Mussa na Mungu wake juu ya mikakati ya kumkabili Firauni, Mungu hakumuacha Nabii wake Mussa hivi hivi alimpa miujiza Ili akakabiliane na mwamba Firauni, Shuka nayo sasa...
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
Back
Top Bottom