hadithi

  1. Chachasteven

    Hadithi: Tabia

    JINA: Tabia. MWANDISHI: Chiamaro Mokiri. Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60 ya kuishi. Ila mimi nilikadiria labda masaa 36, au dakika 36 ndizo alikuwa nazo kama mambo...
  2. S

    Natafuta mtu wa kunitengezea hadithi fupi

    Natafuta mtu wa kutunga hadithi fupi fupi kwa ajili ya watoto. Ni hadithi ya maneno 1000 hadi 2000. Kwa wenye huo ujuzi anicheki PM tufanye maelewano.
  3. Chachasteven

    Hadithi: A Confession of a Madman

    Tittle: A confession of a mad man Author: DIZASTA VINA Jina lake silikumbuki kwa sababu sikumuuliza anaitwa nani. Lakini kwa sasa hivi nikitafakari, ninaweza kumbatiza jina la Malaika. Ndiyo! Malaika kwa sababu ya mionekano yake. Lazima nikiri nimeona wanawake wengi warembo wa kila rangi na...
  4. Richard

    Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    SIKUKUKATAA MWANANGU; UMASIKINI ULIFANYA MAMA YAKO ANIKIMBIE. Kwa Mkono wa, ROBERT HERIEL. © maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. Taikon wa Fasihi Anawasilisha "Sasa nimebaki Peke yangu, hata waliowangu hawanitaki, sio wangu tena, ingawaje ni Mali yangu kiasili lakini dunia...
  6. Lycaon pictus

    Hadithi: Lulu

    Haditi hii ni tafsiri ya hadithi inayoitwa The Pearl iliyoandikwa na John Steinbeck. Unaweza kusoma hadithi hii na nyingine nyingi kwenye app yetu. huu uzi una maelezo zaidi. https://www.jamiiforums.com/threads/jisomee-vitabu-vya-kiswahili-bure-ndani-ya-app-hii.1887408/ LULU Sura ya Kwanza...
  7. adden

    Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na roho zetu. Tai kwenye mzoga. Zubaa uzikwe. Ongezea na zako zingine
  8. Kasomi

    YouTube Yaja na YouTube story/status

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google waja na YouTube story. Youtube story ni kipengele cha kumruhusu mtumiaji wa YouTube mwenye account yaani youtuber kuweka hadithi kama ilivyo mitandao mbalimbali ya kijamii mfano Facebook na Instagram wao pia wanatumia Facebook story au instagram story...
  9. Superbug

    Hadithi: Utamu wa kutokujipanga Polisewa atapigwa na Jeiwewatezada

    Hii hadithi ni tamu na ya mapenzi. Kuna mtu mjinga anaitwa Polisewa na mwingine anaitwa Jeiwewatezada. Wote ni wenye nguvu na maarifa, ila tofauti Polisewa ni mjinga na asie na misuli kumzidi Jeiwewatezada mwenye akili, weledi, mpole, mtiifu na mwenye kila aina ya nguvu. Mpaka sasa Polisewa...
  10. comte

    Hadithi ya Mkenya huyu inatupa somo kubwa-wezi waliumbwa na kuzaliwa

    An undated file image of former bank manager Ben Mwangi This is the case of one Ben Mwangi, whose story can only be visualised in a movie-style act. Once a very successful bank manager in the 1970s and having amassed wealth over years, Mwangi would later lead a life of solitude and eventually...
  11. Kitumba_

    SoC01 Maisha halisi vs maisha ya hadithi

    Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo cha matikiti kinavyolipa. Wanakwambia, ukiwa na milioni moja tu unalima ekari ya matikiti, ukivuna...
  12. DELETED ACCOUNT

    Hadithi za Kulwa na Doto

    Wakuu, Najaribu kuzikumbuka hadithi za Kulwa na Doto amabazo zilivuma sana miaka ya nyuma. Embu tukumbushane hizi hadithi, misingi yake, mafundisho yake, nk.
  13. Lycaon pictus

    Hadithi: Kalume-Kenge, Bibi Tarabushi etc.

    Hadithi hizi zinapatikana katika kitabu Someni kwa furaha kitabu cha kwanza. Unaweza kuzisoma na nyingine nyingi bure ndani ya Maktaba app(by pictus), Icheki playstore. Kalume-Kenge Kalume-Kenge alikataa kwenda shule, baba yake akamwambia mbwa: je, mbwa, wataka kumwuma Kalume-Kenge...
  14. Lycaon pictus

    Hadithi fupi sana

    Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
  15. mahunduhamza

    Hadithi za zamani

    Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
  16. Lycaon pictus

    Hadithi: Robinson Kruso na kisiwa chake

    Hadithi hii ni tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe, iliyoandikwa mwaka 1719 na muandishi muingereza, Daniel Defoe, miaka ya sitini ilitafsiriwa kwa kiswahili. Nitaiweka hapa yote, pia unaweza kuisoma bure ndani ya app ya maktaba(by pictuss) iliyopo playstore. Ni nzuri kuisoma kujikumbusha zamani...
  17. Lycaon pictus

    Unazikumbuka hizi hadithi?

    Utii wa Roda Mama yumo nyumbani, anapika chakula chetu. Roda yuko nje, anacheza na wenzi wake. Sasa mama anamwita Roda aje kumsaidia. — Roda, njoo hapa. — Ndiyo mama. Lakini haji. Anacheza na wenzi wake. Mama ana- mwita tena : — Roda, njoo ; ukapasue kuni. — Ndiyo mama, nakuja sasa hivi...
  18. Yoda

    Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu. Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini yako?
  19. Mohamed Said

    Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

    KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE ''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an. Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
  20. Mlenge

    Kizimbani Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena

    .
Back
Top Bottom