hadithi

  1. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: THE REVENGE OF DERRICK (S 01)

    SIMULIZI:REVENGE OF DERRICK MTUNZI:WIZZY JOOH SEHEMU YA KWANZA(1)* "Walikuwa ni watu wema sana" "Ni kweli bamdogo lakini watu wabaya wamedhurumu nafsi za wazazi wangu na kwa ili bamdogo niahidi kuwa utawakamata hawa wauaji na utawafanya walipie kwa hili" "Nakuahidi Derrick nitawapata hawa...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo

    Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo Malaika ni nani Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi 34:7; 91:11). Biblia husema kwamba, “katika yeye (Yesu), vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kila Mtoto Ana Hadithi: Athari za Malezi Katika Safari ya Maisha ya vijana

    Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna mitindo mikuu minne ya malezi: Mabavu (Authoritarian), Mwenye Upendo Kupindukia (Permissive), Mwenye...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  7. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  9. Tanki

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  10. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hadithi DONDA la WIVU

    Leo tuna Hadith mpya DONDA LA WIVU 👇 LEO MCHANA. “Ni lazima niitishe kikao cha wazee wa Mila, ni lazima nipange siku moja maalumu kuwakomoa firauni hawa, wajinga na wapuuzi wanao yachezea maisha yangu ………… Nakwambieni Ally mpuuzi wewe nitakukomesha. Mwaka huu nitakukomoa ili uione...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi

    WAMEZIDI.(Wamekua too much) Mtunzi:Elaija-Elia. (Sms) +255744225388. KAMPANI. "Waziri Beni unahitaji KAMPANI huwezi kwenda pekee Ulaya." Secretary Rose aliongea kwa madaha mbele ya Ofisi ya Bosi wake Waziri Beni. Alimshawishi Waziri aungane na KAMPANI (wapambe) yake kwenda...
  13. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania Ubaya utakupa faida gani?

    Niwasalimu ndugu zangu hapa!! Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo. DHANA YA MATESO: Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mabara mawili

    Amina alikodolea macho skrini iliyopasuka ya simu yake ya mkononi, akijaribu kusoma ujumbe wa hivi karibuni kutoka kwa binamu yake, Lin, aliyeko ng'ambo ya dunia huko Shanghai. Jua lilipokuwa likizama juu ya barabara zenye vumbi za mji wake mdogo wa mtakuja, Amina alivuta pumzi kwa nguvu, vidole...
  15. Undava King

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya uumbaji inayotambuliwa na wajenzi huru

    HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI ➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya Hadithi ya uumbaji ya kitabu cha mwanzo ambayo kiukweli imeyageuza maandiko hayo ya Agano la kale...
  16. Codeboy Breezy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nyumba ya majini

    Na mwandishi wetu Sehemu ya 01, NYUMBA YA MAJINI “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  18. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya Del Piero na Totti kuhusu jezi namba 10

    Ilikuwa Kabla ya Kombe la Dunia Mwaka 2002 kule Korea na Japan, pale Del Piero alipokuwa akivaa Jezi namba 10 huku Totti akiwa anavaa namba 20. Siku moja baada ya mazoezi ya nguvu huku kila Mchezaji akiwa full kwa ajili ya kulitumikia Taifa, wachezaji waliitwa waliitwa ili wachague namba za...
  19. Aggrey sallah

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kutokukata Tamaa: Mdau, Hadithi Yako ya Mafanikio ni Ipi?

    Katika safari yako ya mafanikio, ni wakati gani ulijikuta karibu sana na kukata tamaa? Ni nani au nini kilikusukuma uendelee mbele? Tunapenda kujua hadithi yako na mambo yaliyokupa nguvu ya kusimama tena na kuendelea kupigania ndoto zako.
  20. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya kila juhudi kuhakikisha wanadumisha furaha na mapenzi kati yao. Walihamia kwenye nyumba yao mpya...
Back
Top Bottom