habari

  1. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

    Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
  7. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za kukua kwa Teknolojia na Uhuru wa kupata Habari

    Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu. Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa utandawazi, teknolojia pamoja na huduma za intaneti zimeboresha kwa kiasi kikubwa hali iliyochangia...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari punguzeni kuandika habari za uhalifu, mnauchochea

    Kuna tatizo la vyombo vingi vya habari kuandika kwa sehemu kubwa habari za kihalifu na jinai kuliko habari za maendeleo, kiukweli watu wakiwa wanasoma hizo habari mara kwa mara kunaleta adiction fulani watu kuanza kuutekeleza uhalifu ule au kuanza kujenga hofu kwenye jamii. Kwa muda sasa...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

    NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI. Nipo Zambia now kununua Soyabeans, JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam . muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona . wote mnakaribishwa ====== Mbowe hajulikani alipo ...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

    Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama nje ya Jiji , Kinondoni

    Utaratibu kwa wote watakaohudhuria ni ule ule wa kufuata mwongozo wa WHO ili kudhibiti maambukizi ya Virus vya Corona
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  18. meningitis

    JamiiForums Tanzania Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

    Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na...
  19. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hilary Ng’weno, mwana habari bingwa Kenya afariki

    Atakumbukwa hasa kwa jarida la siasa the weekly review miaka ya themanini na Documentary Making of the Nation inayooneshwa na kituo cha NTV Kenya. Mkenya wa kwanza kujiunga na chuo cha havard marekani aliposome fizikia(Nuclear physics) Mungu amlaze pema peponi. --- Hilary Ng’weno, the...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
Back
Top Bottom