Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI.

Nipo Zambia now kununua Soyabeans, JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania kama muuzaji Wa Soya bean kwao na kwa Africa zimepewa tenda hiyo nchi tatu tu Tanzania, Ethiopia na Benin na kwa mwaka inatakiwa kuiuzia China tani milioni tatu hivyo sababu sisi hatulimi soya kwa sana JPM alituombea kwa Zambia na Malawi waturuhusu watz kufata soya huko,Pia JPM alituombea soko la kuiuzia Soya na Ufuta nchi ya India lakini sababu watanzania ni wazembe fursa hizo zimechangamkiwa na wakenya, wakenya ndo wamejaa huku).

..last week nilikosea mpaka-sheria ya Zambia mwisho kwa Watanzania kufanya biashara na shughuli zao pale Zambia ni SAA tatu usiku vinginevyo uwe na vibali, so sikujua makazi tumeweka Tunduma boda majuzi nikatoka kwenda kutembea nikakamatwa nilipofikishwa kituo kidogo cha police pale nakonde nikahojiwa kisha nikapelekwa kituo kikubwa Nakonde Police Central ni kama Oysterbay police au central police watuhumiwa walikuwa wengi mno waethiopia, wasomali, wanyarwanda na wengine cha kushangaza Police walipokuwa wanachukua Maelezo yangu wakagundua kuwa kuwa Mimi ni MTz wenyewe wanatuita "waswahili" (waliniachia baada ya kunipa kosa la Shishita nasio migration case)

Wakaanza kuniuliza habari za JPM huku wakimponda President wao Mr Edgar Lungu wenyewe wanamfananisha JPM na marais wao wazamani Marehemu Sata na Mwanawasa wengine Kaunda, Rupia Banda, Chiluba wanadai walikuwa wezi na walijenga kwenye nchi zao "kumbuka Zambia inadaiwa haijawahi kuongozwa na mzawa" wazambia hata ukikakaaa nao mitaani wakigundua wewe ni mtanzania story zao ni kumsifia JPM hata boda ya Tunduma upande Wa Tanzania na Zambia aliijenga kisasa yeye na mpaka lami akaweka Hadi Zambia ila lungu akashindwa kumalizia, wenzetu Hadi mahabusu, saloon, machinga, mamalishe wanafatilia siasa huwaambii kitu kuhusu JPM na hii nimeikuta pia Malawi pia kwenye Soya kuanzia Kasumulo boda Hadi Malawi.

Wamalawi wanamkubali rais wao mmoja tu Marehemu Bingu Wa Mutharika wao wanaamini aliuawa kwa sumu na wazambia pia wanaamini Dr. Levy Mwanawasa na Michael Sata waliuawa kutokana na misimamo yao.

JPM ni gumzo kwa wenzetu kuanzia Nakonde Region, Kitwe, Ndola, Kapimposhi, Mkushi, mpaka Lusaka JPM ni gumzo
 
Waambie alishakuwa mwendazake.

Kumbuka hata hapa bongo miaka hadi ya 2000 kuna watanzania wengi wa vijijini walikuwa wanajua nyerere yupo hai wakati alishafariki
Itakuwa wapo Kama hao watanzania wa kipindi hicho.

Watakuwa hawafatilii mambo ya siasa Kama ulivyowasifia ,au utakuwa unatudanganya
 
NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI.

Nipo Zambia now kununua Soyabeans,JPM anakubalika vibaya mno( kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania kama muuzaji Wa Soya bean kwao na kwa Africa zimepewa tenda hiyo nchi tatu ty Tanzania, Ethiopia na Benin na kwa mwaka inatakiwa kuiuzia China tani milioni tatu hivyo sababu sisi hatulimi soya kwa sana JPM alituombea kwa Zambia na Malawi waturuhusu watz kufata soya huko,Pia JPM alituombea soko la kuiuzia Soya na Ufuta nchi ya India lakini sababu watanzania ni wazembe fursa hizo zimechangamkiwa na wakenya,wakenya ndo wamejaa huku).

..last week nilikosea mpaka-sheria ya Zambia mwisho kwa watanzania kufanya biashara na shughuli zao pale Zambia ni SAA tatu usiku vinginevyo uwe na vibali,so sikujua makazi tumeweka Tunduma boda majuzi nikatoka kwenda kutembea nikakamatwa nilipofikishwa kituo kidogo cha police pale nakonde nikahojiwa kisha nikapelekwa kituo kikubwa Nakonde Police Central ni kama Oysterbay police au central police watuhumiwa walikuwa wengi mno waethiopia,wasomali,wanyarwanda na wengine cha kushangaza Police walipokuwa wanachukua Maelezo yangu wakagundua kuwa kuwa Mimi ni MTz wenyewe wanatuita "waswahili"(waliniachia baada ya kunipa kosa la Shishita nasio migration case)

Wakaanza kuniuliza habari za JPM huku wakimponda President wao Mr Edgar Lungu wenyewe wanamfananisha JPM na marais wao wazamani Marehemu Sata na Mwanawasa wengine Kaunda,rupia banda,chiluba wanadai walikuwa wezi na walijenga kwenye nchi zao "kumbuka Zambia inadaiwa haijawahi kuongozwa na mzawa"wazambia hata ukikakaaa nao mitaani wakigundua wewe ni mtanzania story zao ni kumsifia JPM hata boda ya Tunduma upande Wa Tanzania na Zambia aliijenga kisasa yeye na mpaka lami akaweka Hadi Zambia ila lungu akashindwa kumalizia,wenzetu Hadi mahabusu,saloon,machinga,mamalishe wanafatilia siasa huwaambii kitu kuhusu JPM na hii nimeikuta pia Malawi pia kwenye Soya kuanzia Kasumulo boda Hadi Malawi...
Wamalawi wanamkubali rais wao mmoja tu Marehemu Bingu Wa Mutharika wao wanaamini aliuawa kwa sumu na wazambia pia wanaamini Dr.Levy Mwanawasa na Michael Sata waliuawa kutokana na misimamo yao...

JPM ni gumzo kwa wenzetu kuanzia Nakonde Region, Kitwe,Ndola,Kapimposhi,Mkushi, mpaka Lusaka JPM ni gumzo
na usirudi tz baki hukohuko na wazambia wenzako
 
Back
Top Bottom