Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.
Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...