gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  4. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Mama katili anaetesa watoto wa kufikia amekamatwa

    Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, ametoa taarifa juu ya kushikiliwa kwa muhusika aliewanyanyasa watoto wake wa kufikia. Waziri Gwajima ameandika kwenye ukurasa wake wa "X", "Video fupi inayozunguka mitandaoni na yenye kipande...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kituo cha daladala Kawe. Fupa lililomshinda Askofu Gwajima

    Ndugu zangu, Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa Kawe. Miongoni mwa sehemu zilizolalamikiwa sana ni hali mbaya ya kituo cha Kawe. Mvua ikinyesha...
  8. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  11. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

    Salaam, Shalom! Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia. Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  14. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul? Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya kiasi hiki linapotokea jambo la kuzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kiasi cha kijana mdogo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Gwajima akihubiri kanisani kwake asema Mtume wao ni Mohamed ( SAW)

    Gwajima akihubiri kanisani kwake asema Mtume wao ni Mohamed ( SAW) na Kuruani yao wanaisoma kwa Kiarabu Msikilize kwenye hii Video Ama kweli kanisa limeingiliwa https://www.youtube.com/watch?v=JN00GIgYmwU
  17. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Askofu Gwajima kwa Taifa

  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kuna haja ya kuweka mfumo maalumu wa kuwatambua "Beach Boys" maeneo ya Fukwe

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima amesema kuna haja ya kuweka mfumo maalumu katika fukwe ili huduma zinazotolewa kutambulika na watu wanaotoa huduma pia kutambulika lengo ni kuepuka watu matapeli ambao wanafanya ukatili. Dk Gwajima ameeleza...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini. Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Askofu Gwajima ameshindwa baada ya Paul Makonda kuteuliwa?

    Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye. Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele ya waumini pepo...
Back
Top Bottom