Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi, sikuona mrejesho wa hiyo ahadi basi nikakoma kwenda kwenye mahubiri yake.

Nikasikitika sana kuwa hadhira ile huwa hairuhusiwi kumwuuliza Askofu kupata mrejesho wa ahadi zilizotolewa wakati statements za kimahubiri zikitamkwa!

Wewe mwenzangu ni ahadi gani ya Gwajima umewahi isikia na kisha ikatekelezwa kwa vitendo?

Tuchangie kwa hoja tafadhali.
 
Screenshot_20231208-081940.png

Wengine tuliona mapema akiliharibu Jimbo letu, nikamshauri asithubutu tena kugombea 👆, maana tutamuaibisha kabla hata ya uchaguzi wenyewe.
 
Uhuni wa wahubiri was waongo ni jukumu la watanzania wenyewe kuwakataa au kuwaondoa kwenye nafasi zao .

Inashangaza sana kwamba mtu anatumia mgongo wa dini kudanganya hadhira bila woga kwa manufaa yake anayo yajua mwenyewe.

Kwani bwana huyo nimwepesi wa kudanganya, historia inaonyesha amekuwa akidanganya mambo mengi.

Mfano.

Alipo Sema atamfuufua Amina Chifupa ,watu walusubiri ufufuo huo mpaka leo zero!

Akasema ataleta boti za kuvulia samaki Daressalam nakuwagawia wananchi lakini nayo kimy!
 
Mm cna hoja mkuu.
Ila nijuavyo gwajima n tapeli km matapeli wengine tu walioweza kuteka akili za baadhi ya watu nakuwapiga Hela Kwa njia ya sadaka .

Ukuu akisema ana fufua wafu
 
Askofu Rashidi mbona aliandaa mashindano ya kucheza Lede kwa kina dada wa jimboni kwake
 
Discussion za namna hii kwenye nchi yetu ndio zimeturudisha uchumi wa chini
 
Hawezi kuwa mbunge maana cheo cha ubunge ni kidogo kuliko cheo cha kuwa mtumishi wa Mungu
 
Naimani bado anajichangaa Mkuu!

TUMPE MUDA, TRENI ITAWASILI

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi, sikuona mrejesho wa hiyo ahadi basi nikakoma kwenda kwenye mahubiri yake.

Nikasikitika sana kuwa hadhira ile huwa hairuhusiwi kumwuuliza Askofu kupata mrejesho wa ahadi zilizotolewa wakati statements za kimahubiri zikitamkwa!

Wewe mwenzangu ni ahadi gani ya Gwajima umewahi isikia na kisha ikatekelezwa kwa vitendo?

Tuchangie kwa hoja tafadhali.
Namdai safari yangu kwenda Boston,kiimani nawaachia waumini wake.
 
Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi, sikuona mrejesho wa hiyo ahadi basi nikakoma kwenda kwenye mahubiri yake.

Nikasikitika sana kuwa hadhira ile huwa hairuhusiwi kumwuuliza Askofu kupata mrejesho wa ahadi zilizotolewa wakati statements za kimahubiri zikitamkwa!

Wewe mwenzangu ni ahadi gani ya Gwajima umewahi isikia na kisha ikatekelezwa kwa vitendo?

Tuchangie kwa hoja tafadhali.
Kiimani ametekeleza kuwa msemaji wa Isreal Tanzania
 
Reli ya umeme .. Boat kutoka Japan ...ila chakwanza kabla yote hayo kuwapereka wapiga kura wake wote wa Kawe Birmingham ili wakapunge upepo
 
Tehe tehe tehe. 2025 Mdee akirudi may be wananchi wanaweza wakamrudia!
 
Back
Top Bottom