Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 726
- 1,455
Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
Babu yako ana id jf tutamfatilia 😂Kumbe ndiyo maana babu yangu anarusha rusha mikono juu kwa ghadhabu! Namuuliza sababu ni nin, anasonya tu
Sina hakika kama ana I'd humu, lakini ananishangaza pale ninapoongea naye anatamka msamiati unaopatikana humu tu, mfano, makebo, mbususu nkBabu yako ana id jf tutamfatilia 😂
hahahah kawejeKumbe ndiyo maana babu yangu anarusha rusha mikono juu kwa ghadhabu! Namuuliza sababu ni nin, anasonya tu
wanataka waogeze mapatoWalianza facebook na google nao wamefuata, labda wanataka kukuza soko la simu zao. Naona viswaswadi wanavipotezea uwezo wa kuingia huko
uongo gan mkuu?Mkiona simu ambayo naitumia na mnasema hivyo nazidi kuamini uongo wa jeiefu hautaisha. Achana nayo.
Nasikia hawezi tena kuingia Facebook kwa kutumia kiswaswadu chake.hahahah kaweje
mbona mimi sijafungiwauongo gan mkuu?
huwezi kutumia google kwenye kiswaswadu mkuu huenda kuna njia nyingine unatumiambona mimi sijafungiwa
amini nnachokwambia sasahuwezi kutumia google kwenye kiswaswadu mkuu huenda kuna njia nyingine unatumia
Sasa kwani hili limekuathiri mkuu 😂Kudadeki kwisha
Tuliocheza jar games tunajua, wengine hata hawajui kama kuna opera mini ya kiswaswadu duniani, browser ya kweny kiswaswadu ilinifanya niijue jamiiforumsamini nnachokwambia sasa
Yea opera mini google inakataa ila http inafungukaSasa kwani hili limekuathiri mkuu
Basi ni browser ban, itakuw kuna version fulani wamefungia, kwani hata smart kitochi zingine c zina opera miniYea opera mini google inakataa ila http inafunguka