Google inakuja na update kali upande wa message

Google inakuja na update kali upande wa message

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
1_20260923_055057_0000.png


Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃

Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika!

2_20260923_055057_0001.png


5_20260923_055057_0004.png


🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja
✨ Gemini inapata nafasi mpya juu
💬 Kitufe cha kuanzisha chat kinabadilishwa.

6_20260923_055057_0005.png


🧠 Search ndani yake inakupa maboresho makubwa ya kukupa uwezo wa kutafuta picha, video, links na messages zako kwa urahisi zaidi.

Kwa kifupi, Google Messages inaonekana kuingia level nyingine kabisa! 🚀 👀 Wewe Unaionaje huu muonekano mpya ?
 
Kwenye search kama watafanyia maboresho watakuwa wametisha.

Ilikuwa muda mwingine uki search keyword ya messages haikuletei kitu (no results found)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom