🙌raia yoyote aliesavaivu kipindi hicho upstairs lazima awe vizuri.
View attachment 3583246
Sana em imagine unaingia kwenye pepa ya math bila calculator duh! 😁Mlikuwaga magenius kweli 🙌🏾
Unacheka nini😆
Ety na four figure tu 😂Sana em imagine unaingia kwenye pepa ya math bila calculator duh! 😁
Unanza kuhesabu vidole😅Ety na four figure tu 😂
Maisha ni haya haya tu shindiiTuliteseka bure tu🙆♂️🙆♂️
Sio poa ety sasahivi unapiga mtihani picha halafu kazi yako ni kucopy na ku paste 😂Unanza kuhesabu vidole😅