Google imeachia update ya Android 17 QPR Beta 1 kwa watu wa Pixel

Google imeachia update ya Android 17 QPR Beta 1 kwa watu wa Pixel

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,321
Reaction score
2,693
Android 17 update QPR 1_20260819_171147_0000.png


Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡

Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je 🚀 Nini kipya kwenye Beta 9 ?

🔄 Fix ya reboot loop: baadhi ya Pixel zilikuwa zinajirestart kila baada ya takribani sekunde 20–30; Beta 9 inalenga kurekebisha tatizo hilo.

🔋 Battery drain imeboreshwa, hasa kwenye mazingira yaliyokuwa yanasababisha matumizi yasiyo ya kawaida.

🔍 Circle to Search: Google imerekebisha tatizo ambapo gesture ya kubadilisha apps kutoka chini ya screen inaweza kushindwa kufanya kazi baada ya kutumia Circle to Search.

🔊 Kuna pia marekebisho kadhaa yanayohusiana na audio/media, pamoja na matatizo mengine ya mfumo.

Hii ni moja ya hatua za mwisho kuelekea Android 17 QPR1 Stable. Watumiaji wa Pixel, mmeipokea tayari?Bongotech255 🇹🇿
 
Back
Top Bottom