Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,318
- 2,684
Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo.
Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! 👀 Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya kuanza upya.
📶 Hii ni habari njema hasa kwa wanaotumia mobile data au wenye internet inayokatika-katika. Kipengele hiki bado kiko kwenye testing, hivyo hakijafika kwa kila mtumiaji.
Hatimaye, Play Store inaanza kusikiliza watumiaji! 😍🔥
💬 Unaionaje hii feature tuachie maoni yako?