Google photos imepata feature ambayo watu wa iPhone wanayo kitambo

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,306
Reaction score
2,654
1_20260907_173024_0000.png


Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja.

2_20260907_173024_0001.png


Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye “Photo Stack” moja. Badala ya kuacha Google Photos ipange picha zinazofanana yenyewe, sasa WEWE ndiye unayeamua ni picha zipi ziwe pamoja. 🙌

3_20260907_173024_0002.png
4_20260907_173024_0003.png


📢 Fungua app ya Google Photos
📱 Chagua picha zako
📂 Ziweke kwenye Stack moja
✨ Panga gallery yako iwe safi na rahisi kuitumia

5_20260907_173024_0004.png


hii ni moja ya features ambazo watumiaji wa iPhone wamekuwa nazo kwa muda, sasa Android nayo imefika! 👀🔥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom