saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.