Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,816
Kwema Wakuu,

Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole.

Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost.

Nimepanga ninunue tofali 100 monthly au na zaidi Kulingana na bajet ya 250,000/=.0 Sasa nachoomba kutoka kwenu ni yafuatayo;

1) Mfuko mmoja unaweza kuunga mota kwenye matofali mangapi,
2) Fundi wanaolipwa kwa tofali hua ni kiasi gani kila tofali?
3) Mchanga Tani 3 unaweza kuunga mota matofali mangapi, au mifuko mangapi ?
 
Usisahau kuna mfumuko wa bei.
 
3) Mchanga Tani 3 unaweza kuunga mota matofali mangapi,
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48

Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.

Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu
 
Aina za tofali;

Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement
Unazungumzia kufyatua tofali au mota (maungio) kaka?
 
Poa Mkuu,
Na vipi gharama za ufundi labda?
Site ni Dar, Wilaya ya Kinondoni.
Ningekushauri upatanie bei yote ya boma lakini naona una kikwazo cha bajeti yako hairuhusu unajenga kwa awamu.

1. Bei ya fundi kwa kutwa inategemea na ubora pamoja usafi wa kazi na speed.

Day ya fundi huanzia 25k angalau ajenge sio chini ya tofali 120 na kuendelea

2. Fundi msaidizi hulipwa 15k kwa siku

3. Bei ya tofali huanza 350 hadi 450.

Bado inategemea na ubora wa fundi so bei hiyo inaweza kuzidi.

Note; asikudanganye mtu ukapewa fundi wa chini ya bei hizo ujue ubora wake ni duni
Watu wengi wanajisifu kujengewa kwa bei ndogo but ukweli kwamba eidha wanaibiwa vifaa au kazi haina ubora na suala la muda nyufa zianze kujitokeza.
 
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48

Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.

Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu

Uongo huo mfuko wa cement unajenga tofar 100 -120 mzee kufyatua Tofar ndo ratio iyo mzee
 
chief unazungumzia tofali hizi hizi za block au?!!!. hakuna mahali duniani utajenga kwa mfuko mmoja tofali yeyote ya block kwa tofali 100 kama akivyosema chief hapo wastani ni tofali 50 kwa mfuko hiyo ni standard
 
Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????

Umu ndan kuna uongo mwingi sana kuhusu kujenga
 
Kwa iyo unataka kusema nyumba kubwa ya Tofali 3000 unajenga kwa mifuko 60 ? What a joke brother
 
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48

Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.

Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu

Kwa iyo kiserikali mfuko mmoja unajenga Tofali nane sio mzee
 
Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????

Umu ndan kuna uongo mwingi sana kuhusu kujenga
kuwa kwny ujenzi si tatizo unaweza ukawa kwenye ujenzi na usielewe standard taratibu za ujenz. wewe uko kwny ujenz now wengine ndo maisha yetu kila siku ipitayo leo tunajenga.

mm nazungumza kuhusu taratibu za ujenzi. sikatai kwamba unaweza jengea mfuko mmoja hata tofali 100 ni wewe ata ukitaka 150 ila utambue hilo haliko kwny standard protocol za ujenzi na kuhusu mchanganyo wa motor. hiyo ni ratio ya namna gani unayo changanya ndoo 30 kwa mfuko. ivi hujui kuwa hata hiyo motor inatakiwa iwekwe kwa ratio km ilivyo zege inavyochanganywa?
 
Back
Top Bottom