Zambia: Ndege ya Rais kupigwa mnada baada Rais Hichilema kusema ni ya gharama mno

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1669824371269.png


Rais Hakainde Hichilema amesema anataka kuzirejesha Tsh. Bilioni 450.4 zilizotumika na Rais Mstaafu Edgar Lungu kununua Ndege hiyo aina Gulfstream 650.

Hichilema amehoji “Kwa nini tuliamua kutumia Tsh. Bilioni 450.4 kununua Ndege? tungeweza kununua madawati mengi ya shule kwa ajili ya watoto, tungeweza pia kuwekeza kwenye vituo vya Mipakani".

Tume ya Kupambana na Rushwa (ACC) imeanza uchunguzi juu ya Serikali ya Rais Edgar Lungu kununus Ndege hiyo kwa bei kubwa, badala ya bei halisi ya Tsh. Bilioni 151.7.

==========================
1669824403277.png

Zambia's leader has said he plans to sell the presidential jet his predecessor bought in his last months in office in controversial circumstances.

Hakainde Hichilema said he wants to recover $193m (£160m) that was spent to buy the Gulfstream 650.

"We do not support that extravagance, because we could have gotten a plane of capability, in terms of range, reliability for around $20 million,” Mr Hichilema said on Tuesday at a judiciary conference.

“So why did we have to spend $193 million on that piece of metal? We could have looked after the judiciary... we could have also bought a lot of school desks for the kids, we could have also invested in one or two border posts," he added.
1669824443918.png

Selling the plane will however not be straightforward as the Zambia Air Force has said that it is not a public but a military asset.

However, this has not stopped the anti-corruption body from launching an inquiry.

The agency announced on Wednesday that it was looking into how former president Edgar Lungu's government bought the jet at an inflated price, instead of "the then $65m standard price" months before he was defeated in the 2021 election.

The fate of the jet has divided public opinion; while some people support the president others argue that selling it would undermine the country's security.

BBC
 
Safi sana, nchi ni kama familia, baba alipie vp bili kula hoteli 5 star wakati watoto hawana wanashindia tembele na nguna ?

Hapo inunuliwe ndege ya kwaida tu kuendana na hali zetu nchi zenye uchumi wa chini.
 
Back
Top Bottom