gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua. Nitazungumzia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  6. JamiiForums Tanzania Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa gharama za vipimo kwa wajawazito

    Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wauzaji na wafungaji wa AC kwa gharama nafuu

    Habari, kutokana na uwepo wa joto katika mazingira yetu ya nyumbani na maofisini kampuni ya OKEMI technical services imekuletea OFA KUBWA yaani punguzo la bei kwa 30% za AC na kufunga AC kwa gharama nafuu zaidi kutoka kwa mafundi wetu wenye uzoe wa miaka nane ya kutoa huduma za kufunga na...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

    Ilikua hivi 👇 1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days. sasa ni 👇 MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/= Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha. Ila kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanga, mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika (CPAC) yamepunguza gharama za usafiri kwa wagonjwa

    Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo. Mbali na kupunguza...
  14. JamiiForums Tanzania Blog ya namna hii inaweza patikana kwa gharama rafiki?

    Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki) Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

    Mambo vipi wanajamii forums Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: gharama ya maisha imesababishwa na mambo mengi

  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

    Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu..... Here's everything we know Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
  20. JamiiForums Tanzania Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

    Hello JF members! Je inawezekana kupata Toyota Raum DS....and above Kwa Tsh. 7,000,000? Location: Mwanza . Mwongozo wenu tafadhali.🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…