gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  2. JamiiForums Tanzania Hasara na gharama za uchawa

    Inasikitisha sana kumkuta kijana mwenye nguvu chini ya miaka 40 ameingia kwenye uchawa na kushabikia vitendo vya uchawa. Mtu aliyechagua maisha ya uchawa anaweza kudhani kuwa amechagua maisha ya mteremko (kitonga) ama kwa kujitoa ufahamu au kuchukulia kirahisi madhara ya uchawa. Tatizo chawa...
  3. JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu naombeni gharama zote mpaka kukamilika

    Naomba wale wataalamu wa ujenzi engineering wanipe gharama za mjengo kama huu
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

    - Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei - Rushwa iliyokithiri Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  7. JamiiForums Tanzania Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

    Haraka kwenye mada, mambo ni mengi, Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo, Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno, Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la Hija mwaka 2024 kwa wakatoliki. Gharama ni Tsh Milioni 7.

    Kama Tangazo linavyo jieleza.. Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji .. Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja Tuka msikilize Baba Mtakatifu. Tukaone masalia matakatifu. Tukaone...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada anaejua gharama za kupima kiwanja na kuweka bikoni

    Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  13. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

    Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  16. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  19. JamiiForums Tanzania Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

    Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga. Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…