Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,956
6,887
Habari wakuu,

Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini kabisa n.k

Nitaanza na mimi, binafsi napenda sana kuwa smart all the time hivyo napenda kuwa on point kila mara so nimekuwa mtu wa kuchagua sana vinyozi na ubaya ninapoishi hamna saloon zile za high level (Barber Shop) hivyo kutokana na hilo huwa kuna kinyozi wangu natokaga mitaa mitatu kumfuata kwaajili ya kazi hiyo, Kutokana na suala hilo la umbali imebidi nijipe ratiba ya kunyoa na full head mara mbili tu kwa mwezi ambapo huwa nalipia 10,000 huku beards na ndevu nikiwa nashave kila baada ya siku 5 hapahapa mtaani ambapo nalipia Tsh. 500 tu.

Kwa hesabu hiyo hapo juu mimi hujikuta natumia Tsh.11,500 - 12,000 kwaajili ya kushave kila mwezi.

Wewe je?
 
I ain't spendin' no money on haircut ni mara moja sanaa.
Ila i either cut my own au watu wa karibu hunitoa nywele.
Ndevu sina za kujaa sana.
 
Beards na ndevu ndo nini? Tofauti ya beards na ndevu ni ipi?

Mi nanyoa mara nne kwa mwezi huwa natumia elfu nne tu, ila hii miezi miwili nimejichanganya kwenda barbershop hadi sasa nimenyoa mara mbili tu na nimetumia 13,000/= siendi tena narudi kwenye buku buku
 
Natumia 4000 kwa mgawanyo wa kila wiki 1000 kwaajili ya kuchonga ndevu tena sio kuzinyoa maana wife anamaliza mambo yote ananinyoa dongo naamua mwenyewe la wembe au mashine ndevu anazipitia na mkasi zinakaa saizi fulani safi kwahyo nikienda kwa kinyozi nachangia tu buku ananichonga zinakaa poa zaidi.

Muda mwingine sichongi kwahyo najikuta mkono wa wife ukishapita ndio bas tena.

Shukrani za dhati zimuendee mke wangu akininyoa najiskia raha sana na nazidi kumpenda hata mwanangu mkubwa ananyolewa na mama yake humwambii kitu kuhusu saloon akakuelewa
 
Mkuu hiyo 12000 iliozidi hapo ungepata robertson yako safi unajipigia ukimaliza kula jioni
 
shaver yangu home, dongo kila siku
 
Attachments

  • DSC_0001.JPG
    DSC_0001.JPG
    512.6 KB · Views: 14
Natumia 4000 kwa mgawanyo wa kila wiki 1000 kwaajili ya kuchonga ndevu tena sio kuzinyoa maana wife anamaliza mambo yote ananinyoa dongo naamua mwenyewe la wembe au mashine ndevu anazipitia na mkasi zinakaa saizi fulani safi kwahyo nikienda kwa kinyozi nachangia tu buku ananichonga zinakaa poa zaidi.

Muda mwingine sichongi kwahyo najikuta mkono wa wife ukishapita ndio bas tena.

Shukrani za dhati zimuendee mke wangu akininyoa najiskia raha sana na nazidi kumpenda hata mwanangu mkubwa ananyolewa na mama yake humwambii kitu kuhusu saloon akakuelewa
B... ona kile nakuambiaga Mdakuzi
 
Back
Top Bottom