gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. OllaChuga Oc

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya gesi.

    Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi imeshindikana kushuka au EWURA hawana meno?

    Habari wadau! Wiki iliyopita kuna taarifa kuwa bei za gesi za majumbani (LPG) zimepanda watu wakalalamika sana mpaka Ewura wakatoa tamko. Lakini cha ajabu bei haijashuka bado imepanda mtungi wa 6Kg tuliokuwa tunanunua 18,000/= kwa sasa 20,000/= maisha yamekuwa magumu sana maaana hata mafuta...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  4. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mkaa unapoisha tunaona, kwanini gesi inapokuwa inaisha hatuwezi kuona mpaka tutingishe mtungi?

    Ukiwa unatumia mkaa una uwezo wa kuona wakati mkaa unaishia na kuweza kukadiria kama huo mkaa uliobaki utakusogeza hadi siku gani lakini hali iko tofauti kidogo katika matumizi ya gesi. Raha ya gesi ni pale tu unapobadirisha dukani kwa kununua gesi mpya mana hapo una uwezo wa kukaka hata wiki...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

    Nawasalimu wakuu. Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni. Hii...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi ya Gesi asilia Tanzania

    GAS UTILIZATION OPTIONS AND DEMAND FORECAST IN TANZANIA. Natural Gas (Pure Methane, CH4) can be used for; - Domestic Natural Gas Utilization Options. Industrial Application as an Alternative Fuel Households, Institutions and Transport Fertilizer (Ammonia & Urea) Methanol Di-Methyl Ether (DME)...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Na Elia Wilinasi Sikanyika Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huwa nikiwambia tuibadiLishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani

    Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani. Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

    Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha. Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550. Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo. Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mexico: Kisima cha kuchimba gesi chalipuka

    Leo ni siku moja bahari ikizidi kuungua maana gesi ilipasuka imesababisha hali mbaya kwa viumbe huko mexico yucatan peninsula. Bado serekali ijaeleza sababu ni hipi! Bado watalaamu wanazidi kupambana kutatua hilo tatizo. ======== MEXICO CITY, July 2 (Reuters) - A fire on the ocean surface...
  12. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

    Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Hatuzungumzii tena Uchumi wa Gesi, miaka ijayo haitakuwa na maana

    Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangala amesema uchumi wa gesi hauzungumziwi tena nchini ilhali yeye alidhani ungekuwa neema akikumbuka jinsi walivyozungumza Bungeni Mwaka 2010. Kigwangalla anasema bei ya gesi inazidi kushuka duniani. Amesema makadirio ya bei ya Gesi miaka 15 ijayo itazidi...
  14. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la umeme na gesi linauzwa bei nafuu

    Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/ Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

    Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka. Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali. Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk. Hebu tueleze ilikuwaje.
  16. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la kukaangia chipsi pamoja na regulator yake linauzwa

    Jiko la gesi LA kukaangia chipsi linauzwa kwa 70000 tu. Lina regulator ya high pressure na pipe yake ya mita tatu. Limetumika mwezi mmoja tu. Lipo mbezi beach-salasala. Atakaehitaji anicheki 0679478758 / 0744069243
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

    Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Isidingo la Gesi: Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam

    Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya. Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000 (Bilion 1.2)Kati ya fedha hizo Benki ya Exim ya China imechangia asilimia 95 na Serikali ya Tanzania...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Wasitutoe kwenye mjadala wa Gesi kwa kuleta mada za Simba na Yanga

    Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha popote ghafla anaanguka sahihi hapana tunataka ulinzi wa rasilimali zetu tena kwa wivu mkubwa sana na...
Back
Top Bottom