Rais Samia Suluhu na Uhuru Kenyatta watia saini mkataba wa bomba la gesi litakalogharimu mabilioni

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,886
2,000
Hivi ndivyo mchezo huchezwa, sio majungu na makelele kila siku.

Ni kama naiona Tanzania iliyokua na kamuamko fulani kipindi cha JK.

===========

The 600-kilometre pipeline will pass through the port city of Tanga to Mombasa and will carry natural gas from the Songo Songo Island and from the Mnazi Bay gas fields in southern Tanzania near the border with Mozambique.

The construction is set to commence soon after the completion of negotiations at State House.

During the State House meeting, President Suluhu acknowledged that Kenya is Tanzania’s top investor in the East African Community, and fifth on the continent.

She cited 513 projects worth more than Ksh100 billion which have created 51,000 jobs for Tanzanians.
"We are not only neighbours geographically, but have other elements in common such as culture, language and shared heritage," Uhuru stated.

When completed, the project is expected to significantly reduce the cost of energy, and hence the cost of doing business in Kenya.
According to Tanzania Petroleum Development Corporation, the country has started harvesting its gas deposit which is said to be a staggering 55 trillion cubic feet.

More than half of the electricity generated in Tanzania is produced from natural gas.

The project is also a beacon of hope as residents along the route expect investors to flock to the region.

g

President Uhuru Kenyatta (right) receives Tanzania's President Samia Suluhu (left) at State House, Nairobi on Tuesday, May 4, 2021
PSCU

 

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,976
2,000
Gas ipi sasa? Ile iliyouzwa kwa dharula usiku kwa usiku? Nani ni mmiliki wa gas hiyo, nani ni muuzaji wa gas hiyo?

Isije kuwa tumeanza kuingia mikataba kwa niaba ya watu binafsi kama tulivyofanya kwa songas, iptl na aggreko!
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,583
2,000
Yani wataunga kwenye bomba linalotoka Mtwara na jingine linalotoka Kilwa! Mmhh sawa ila hili jambo sijui wlaikubaliana lini maana sikuwah ata kuona kama kuna majadiliano hapo nyuma. Limebuka tu
 

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,399
2,000
Yani wataunga kwenye bomba linalotoka Mtwara na jingine linalotoka Kilwa! Mmhh sawa ila hili jambo sijui wlaikubaliana lini maana sikuwah ata kuona kama kuna majadiliano hapo nyuma. Limebuka tu
Majadiliano yalikuwepo ..ila nadhani yalikuwa stalled...
 

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,399
2,000
Ukiona Wakenya wamefurahia ujue Kuna walakini...na ukiona Watanzania walio wengi wanna doubts na deal iliyopo mezani...ujue kabisa utekelezaji wa deal hiyo utakuwa mgumu mno.
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
13,755
2,000
Najaribu kuwaza hiyo gesi kutoka Songosongo hadi Tanga port inakujaje?? Maana story hapa ni bomba kutoka Tanga hadi Mombasa ila gesi inatoka Mnazi bay
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom