gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Qatar: Hatuwezi na hakuna nchi itakayoweza kufidia gepu la uhitaji wa gesi ya Russia Ulaya

    Afisa wa nishati wa Qatar kaonya kuwa si Qatar wala nchi nyingine yoyote ina uwezo wa kufidia uhitaji wa gesi ya Russia huko Ukaya. Taarifa zasema bei ya gesi ktk nchi za Ulaya imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 kufuatia vita vya Russia na Ukraine. =====...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulaya zinazotegemea gesi ya Urusi

    Sasa nimeona nianze kuzungumza mambo ya Urusi sasa. Hapa duniani nchi iliyobarikiwa kwa resources nyingi chini ya ardhi ni Urusi. Leo nitaongelea nchi zinazoitegemea urusi kwa gas.
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Rwanda na Uganda wana gesi nyingi kutuzidi?

    Takwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi.

    Tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi. Kwenye wizara ya Nishati tuyatoe mafuta na gesi. Kuweka mafuta na gesi kwenye wizara ya nishati kutasababisha sekta nzima ya nishati kuzorota. Kuna wadau watapinga hili. Ila wachache watanielewa. Kama tunaweza kuigawa wizara ya afya kwanini hii...
  6. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

    Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa. Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600. Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona hamueleweki Watz, hii gesi mnayotaka kutuuzia Wakenya ina maana sio yenu?

    Kha! Hizi ni chokochoko bana, kwani gesi ya nani? Ha ha ha!!! Acheni tununue....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

    Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
  9. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-200,000 tu

    Linauzwa: jiko la gesi la biashara na mtungu wake-200,000 tu. Liko bunju b piga 0754 34 36 42
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inatakiwa kuwajibika kwa vitendo kupunguza utoaji wa gesi chafu

    Upunguzaji wa utoaji wa gesi chafu hauwezi kufanikiwa bila ya kuwa na vitendo halisi kutoka kwa nchi zilizoendelea. Katika kipindi cha Utawala wa rais Donald Trump, Marekani iliojiondoa kwenye mkataba wa Paris na kuonyesha kuonyesha dunia mtazamo usiofaa kwenye juhudi za kulinda mazingira. Hata...
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa msaada wa gesi kwa Lebanon kwa siri kupitia Jordan

    Israel said to secretly ink unprecedented deal to supply gas to Lebanon, via Jordan Israel has signed an agreement to indirectly pump natural gas to Lebanon to aid the crisis-hit nation, an unsourced television report claimed on Saturday. Channel 12 news reported that the...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali kuachia gesi kupanda bei namna hii maana yake imeruhusu miti ikatwe maporini mpaka ichakae.

    Juzi tarehe 9 december uhuru day nimetoka nyumbani kwa uhuru na mtungi wangu wa gesi kwenda dukani kubadilisha au kujaza sijui wanavoita wenyewe nimepokewa na mdada ambaye siku zote namkuta hapo baada ya salamu akaniambia kuwa "gesi imepanda'. 'Leo nakuuzia kwa bei ya zamani ukija next time...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuwaige Uzberkistan Kama mafuta ni bei tunaweza kuibadili gesi yetu kuwa mafuta

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL). Kiwanda hicho...
  16. nduza

    JamiiForums Tanzania Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

    Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not...
  18. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Vikao lukuki vya Waziri Makamba na mabepari wa gesi na mafuta vinafikirisha

    Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa. Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

    Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema. Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania. Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu. Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na...
Back
Top Bottom