Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

May 24, 2015
9
3
Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
 
Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
Nenda Jangwani au kawaone watu wa posta wanayo huduma kusafirisha mizigo mikubwa na midogo. Nimeona kwenye tangazo TBC TV.
Pia tazama website yao. Google Tanzania Posts company.
 
Back
Top Bottom