Nachohofia TBS ukaguzi wa magari ni mambo ya kutoa kitu kidogo au connections ili gari isikaguliwe miezi au kuambiwa ni bovu uingie gharama

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.

Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.

Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli, unaweza kuta kama hutoi kitu au kujuana na mtu hapo tbs gari inaweza kukaguliwa hata miezi miwili au ukaambiwa gari ni bovu halijakidhi viwango na kupelekea gharama za ziada za matengenezo.

Gari isipokidhi vigezo utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe. kuko karakana ya UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka wao, hakuna majadiliano kama huku kwenye garage ukiona sehem ni bei unahama kwengine.

kitu kingine huko kwenye ukaguzi au matengenezo usalama wa spare za magari tuliyoagiza upoje?? maana mkaguzi au fundi anaweza kuchomoa spear ya gari yako uliyoagiza akaenda kuiweka kwenye gari yake, ya mtoto wake, mke wake, ndugu yake au hata kuiza alafu wewe ukawekewa kuu kuu iliyochoka, kiukweli inatia hasira

Mi naona utaratibu wa zamani gari inakaguliwa huko huko ndio ulikuwa mzuri, gari ikifika bandarini ma agent wataclear vitu unapata chombo chako,

Haya mambo ya kuanza kufungua fungua magari tunayoagiza kwajili ya ukaguzi yananipa hofu sana.

Nawaza tu
 
Kazi zikizidi, magari yakiongezeka ukaguzi hapo ni wiper kama zinafanya kazi, honi, taa, matairi, vioo na starter tu, unalipia $140 unakabidhiwa kagari kako, finish
 
Alafu mafundi wenyewe ni hawa makanjanja ndiyo wakaguzi sipati picha jinsi watakavyokuwa wanaiba vitu vidogo-dogo yaani kwakifupi ni adhabu juu ya mateso ndani ya nchi
 
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.

Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.

Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli, unaweza kuta kama hutoi kitu au kujuana na mtu hapo tbs gari inaweza kukaguliwa hata miezi miwili au ukaambiwa gari ni bovu halijakidhi viwango na kupelekea gharama za ziada za matengenezo.

Gari isipokidhi vigezo utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe. kuko karakana ya UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka wao, hakuna majadiliano kama huku kwenye garage ukiona sehem ni bei unahama kwengine.

kitu kingine huko kwenye ukaguzi au matengenezo usalama wa spare za magari tuliyoagiza upoje?? maana mkaguzi au fundi anaweza kuchomoa spear ya gari yako uliyoagiza akaenda kuiweka kwenye gari yake, ya mtoto wake, mke wake, ndugu yake au hata kuiza alafu wewe ukawekewa kuu kuu iliyochoka, kiukweli inatia hasira

Mi naona utaratibu wa zamani gari inakaguliwa huko huko ndio ulikuwa mzuri, gari ikifika bandarini ma agent wataclear vitu unapata chombo chako,

Haya mambo ya kuanza kufungua fungua magari tunayoagiza kwajili ya ukaguzi yananipa hofu sana.

Nawaza tu
Tena ni hatari sana maana kama utaratibu hautakuwa mzuri yaani watakao pangwa hapo watatafuta utajiri kwa guvu yaani ulivyotabiri inawezekana. I wish ningekuwa CEO TBS ningewanyoosha
 
Alafu mafundi wenyewe ni hawa makanjanja ndiyo wakaguzi sipati picha jinsi watakavyokuwa wanaiba vitu vidogo-dogo yaani kwakifupi ni adhabu juu ya mateso ndani ya nchi
Huu ukaguzi ni tofauti kabisa na huo unao ufikiria!!huu asilimia 98, hufanywa kwa kutumia mashine maalum ambayo, itachunguza, mifumo yote ya gari, kama iko sawa, kulinganisha na standards za TBS, na inatoa riport yenyewe!!mfano gari inapimwa uwezo wake wa breki, itaingizwa kwenye mashine (brake checker) itazungusha matairi, kwa spidi kubwa, halafu mtu ataingia ndani ya gari na kukanyaga breki, hapo ndipo ufanisi wake utapimwa na kulinganishwa na viwango vya TBC!!Mbona ukaguzi huu hata sasa unafanywa na NIT?kwa magari yanayotoka ULAYA, USA, na FAR EAST, na baadhi yanayotoka JAPAN, tatizo ninalo liona ni pale gari umeshaliingiza nchini, unaambiwa halikidhi viwango, unaenda kulitengeneza, ukirudi kupima tena, wana kwambia bado?unaamua kuliacha tu, na kama gari limetoka japani, lina MIONZI, limeingia bandarini, dreva amelitoa kwenye meli, haya badaye TBS, wanakuja kulipima wanakuta limeathirika na mionzi, inakuwaje hapo??na je kwa magari, yanayoingilia bandari ya MOMBASA au mipakani yatapimiwa wapi?!!hili jambo TBS, wamefikiria mapato tu lakini sio, kuangalia ufanisi wa kazi.
 
Kama TPA kwenye kushusha magari yanayokuja na meli kutoka Ulaya (Ex-Europe) kijasho kinawatoka pamoja na kuwa na vifaa na mafundi.

Kuna gari zinakuja na tatizo au zianshindwa kuwaka wanapambana na wanaishia kuzifuta kutoka melini Sasa hao TBS Wana mafundi gani nguli, maana hata uwe na mtambo wa kisasa Kama hawana mafundi wataishia kuzipa matatizo gari za watu.
 
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.

Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.

Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli, unaweza kuta kama hutoi kitu au kujuana na mtu hapo tbs gari inaweza kukaguliwa hata miezi miwili au ukaambiwa gari ni bovu halijakidhi viwango na kupelekea gharama za ziada za matengenezo.

Gari isipokidhi vigezo utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe. kuko karakana ya UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka wao, hakuna majadiliano kama huku kwenye garage ukiona sehem ni bei unahama kwengine.

kitu kingine huko kwenye ukaguzi au matengenezo usalama wa spare za magari tuliyoagiza upoje?? maana mkaguzi au fundi anaweza kuchomoa spear ya gari yako uliyoagiza akaenda kuiweka kwenye gari yake, ya mtoto wake, mke wake, ndugu yake au hata kuiza alafu wewe ukawekewa kuu kuu iliyochoka, kiukweli inatia hasira

Mi naona utaratibu wa zamani gari inakaguliwa huko huko ndio ulikuwa mzuri, gari ikifika bandarini ma agent wataclear vitu unapata chombo chako,

Haya mambo ya kuanza kufungua fungua magari tunayoagiza kwajili ya ukaguzi yananipa hofu sana.

Nawaza tu
Kila siku serikali inaongeza ugumu katika uagizaji wa magari ama kwa kuongeza Kodi au kuleta complication tu zitakazo ongeza urasimu usio na sababu ila lengo Ni kuwaumiza raia tu hamna kingine
 
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.

Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.

Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli, unaweza kuta kama hutoi kitu au kujuana na mtu hapo tbs gari inaweza kukaguliwa hata miezi miwili au ukaambiwa gari ni bovu halijakidhi viwango na kupelekea gharama za ziada za matengenezo.

Gari isipokidhi vigezo utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe. kuko karakana ya UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka wao, hakuna majadiliano kama huku kwenye garage ukiona sehem ni bei unahama kwengine.

kitu kingine huko kwenye ukaguzi au matengenezo usalama wa spare za magari tuliyoagiza upoje?? maana mkaguzi au fundi anaweza kuchomoa spear ya gari yako uliyoagiza akaenda kuiweka kwenye gari yake, ya mtoto wake, mke wake, ndugu yake au hata kuiza alafu wewe ukawekewa kuu kuu iliyochoka, kiukweli inatia hasira

Mi naona utaratibu wa zamani gari inakaguliwa huko huko ndio ulikuwa mzuri, gari ikifika bandarini ma agent wataclear vitu unapata chombo chako,

Haya mambo ya kuanza kufungua fungua magari tunayoagiza kwajili ya ukaguzi yananipa hofu sana.

Nawaza tu
PCCCB tumejipanga hapa
 
Back
Top Bottom