Natafuta fundi wa funguo za gari na programming kwenye immobilizer

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1.

Kunitengenezea ufunguo -gari ni audi A4 v6 2.4 Quattro toleo la 1999 (2) Aondoe huo mfumo wa Immobilizer ili aweze kuliwasha/ vinginevyo nahitaji kuendesha tu haya mengine maelezo! hivyo afanye akijuacho ili ufunguo atakaonipa uwe unaweza kuwasha gari na kuzima.

Naamini nimeeleweka.

Ahsante na karibu wataalamu.
 
Back
Top Bottom