gari

  1. Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

    gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
  2. Kwa Mwenye gari ndogo Kahama

    Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi. Gari ninayohitaji yenye capacity 2000 kushuka Chini ila isiwe noah na iwe gari ambayo unaweza himili masafa hayo bila shida...
  3. Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

    Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza toleo la Nissan y62 lina muda sasa lakini sioni watu wakiyakimbilia kama ilivyo tokea kwa matoleo ya...
  4. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

    Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea? Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vituo vyake vya kujazia viko wapi? Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu...
  5. Waziri Mkuu amtaka Mkurugenzi kuleta gari kwa ajili ya Sekondari ya Tunduru

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempa siku mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoni Ruvuma, Gaspar Balyomi, awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari Tunduru kwa ajili ya kuwahudumia walimu na wanafunzi shuleni hapo. Ametoa agizo hilo Januari 2, 2021, wakati akikagua...
  6. Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

    Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
  7. Kubadili mwonekano wa hii gari iwe Monster

    Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road. Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili rims? Maana rims nazotumia ni zile ambazo zilikuja na gari na nimekuwa nikiona rims flani kariakoo...
  8. Freight Clearing and Forwarding Services

    S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa...
  9. Car4Sale BMW 5 series 5231. Jipatie gari hii kwa bei poa

    BMW 5 SERIES Year made: 2007 Engine power: 2700 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 RWD..: inasukuma kwa nyuma/Rear Wheel Drive. Mileage: 71,000 kms Bima imeisha Kadi yake ipo Location Dar es salaam, mbezi beach Bei 12.5mil Punguzo kidogo kwa mteja serious Piga simu 0744 033 555
  10. Mama afariki, mwanaye anusurika baada ya gari kutumbukia baharini

    Winnie Achieng (33) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kutumbukia katika bahari ya Hindi mjini Mombasa, Kenya huku mwanaye wa miaka 12 akiogelea hadi ufukweni. Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inaeleza kuwa Winnie alifariki wakati akipatiwa matibabu hospitali muda mfupi...
  11. M

    Mwenye uzoefu Matairi ya gari naomba ufafanuzi

    Mwenye uzoefu na tairi za gari kuagiza nje..ni zipi nzuri.kampuni gani na nchi gani? Soko lake kwa Tanzania limekaaje
  12. Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  13. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada nimeogopa mikopo toka taasisi za fedha

    Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo. Mali zinazouzwa ni majumba na magari. Jambo...
  14. Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

    Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
  15. Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari...
  16. Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  17. Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  18. Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  19. J

    Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  20. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…