YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide.
Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?
Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vituo vyake vya kujazia viko wapi?
Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu mitaani kukusanywa wapumlie carbon dioxide kwenye, mfano mifuko ya plastic waende wakamuuzie Azam?
Wataalamu wa sayansi karibuni mjibu