Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,600
2,000
T
mimi sijasema ni nyingi
swali la msingi ni Kwa nini hazifanani na ni tozo za serikali? inaonesha kuna ubabaishaji hapo
Agent fee peke yake ndio inatakiwa iwe tofauti
Tafuta TPA tarrif guide na TRA tarrif guide hesabu zote zipo huko
 

Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,644
2,000
gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
Utalipa ushuru wa TRA
Utalipa wharfage TRA
Utalipa port charges (handling, corridor levy etc)
Utalipa shipping line
Utalipa gharama za clearing and forwarding

Sasa taja aina ya gari na mwaka ili tupate excat figure.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom