gari

  1. MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  2. M

    INAUZWA Radio za gari touchscreen Inch 7

    Call/whatsapp 0656 666 662 Radio mpya ya gari touchscreen inch 7 -inasupport Bluetooth -inasupport mirrorlink -inasupport usb,memorycard -inaplay music na video kwenye flash -ina support channels zote za fm -inakuja na reverse camera -radio ina warranty -bei 140,000 tu pamoja na kufungiwa BURE...
  3. Mzee aliyetoa zawadi ya Jogoo, apanda gari kuja kumuaga Rais Magufuli, Dar

    Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli. Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
  4. L

    Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

    PRICE UPDATED: 6,800,000 Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean Seats Trans Automatic Imported from Japan Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
  5. Car4Sale Nauza Gari aina ya IST

    Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
  6. Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua 1.fuel consumption 2.upatikanaji wa spea 3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
  7. Gari aina ya IST inawezaje kunirudishia faida

    Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu. Ngoja niende...
  8. T

    Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

    Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen. Natanguliza shukrani.
  9. Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

    Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo. Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye...
  10. User manual (mwongozo wa mtumiaji) ya gari aina ya toyota probox

    Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
  11. Natafuta Garage au mafundi bora wa Bodi na Engine za gari za Kijapani, Mwanza.

    Ndugu zangu habari zenu nyote... Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza.... Nimepata taabu sana kwenye eneo hili. Kuna wakati nilipelekwa gereji moja na rafiki yangu nmoja. Mafundi wa pale...
  12. Kweli Gari Mbovu Husukumwa na Nzima

    Habari za jumapili waungwana... Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili. Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima. Huyo wa katikati anajua kuchenjua, bila kupiga ukope unaona mpaka kidaka mwiko...😜 machejo yamelala yanatolewa...
  13. Ushauri wenu kwenye kuagiza hii gari wakuu.

    Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa. Naomba uzoefu wenu kwenye hili. Ahsante
  14. Zijue sababu zinazoathiri matairi ya magari

    TAIRI Ni sehemu ya nje ya guruudumu Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua: Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka. Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
  15. Tiger Wood apata ajali mbaya ya gari, akimbizwa hospitali

    Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia...
  16. Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

    Habari wakuu, Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
  17. C

    Wapendwa nisaidie nitapata wapi hii spare ya gari

    Jamani natafuta air mass sensor ya Nisan serena make ya 1997. Nitapata wapi au mwenye nayo tuwasiliane inbox tuyajenge. Air flow sensor for NISSAN SERENA (C23M) 1992–2001 2.0 16V, Petrol SR20DE , 93kW Change vehicle Results found: 1 Air Mass Sensor Denso DMA-0214 Item code: AL604740...
  18. Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

    Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu? Toyota IST Toyota Alex
  19. Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

    Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari. 1. Aina ya gearbox iliyotumika Aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…