Nahitaji gari kama hii ila iwe ya kijani mpauko nahitaji kwa haraka sana

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
GAD.jpg
 
Iyo ni gari maalum ya msafara wa Rais inatumika kublock mawasiliano yoyote pahali ulipo msafara wa raisi kwaio Kumiliki mtu binafsi chuma kama icho ni ndoto tafta vieitii tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom